
🎙️ Bongo Bila Borders, Episode ya 8!
Leo tunazungumzia burudani 🌍🎶🎬—tukiangalia tofauti na mfanano kati ya Tanzania 🇹🇿 na Marekani 🇺🇸.
Kuanzia muziki wa Bongo Flava na Hip-Hop hadi matamasha kubwa na starehe za mitaani, tunauliza: nini kinatufanya tufanane na wapi tuna tofauti kubwa?
Karibu kwenye mazungumzo haya yenye ladha ya kipekee ya burudani bila mipaka!
#Bongobilaborders #bongo #swahili #swahilipodcast #burudani #entertainment #wasanii #muziki