All content for Elia Bennet is the property of eliabennet and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
EXCLUSIVE JACQUELINE MENGI AFUNGUKA SIKU ZA MWISHO ZA DR. MENGI, KUZUIWA KABURINI, MALI ALIZOACHIWA
Elia Bennet
48 minutes 50 seconds
5 years ago
EXCLUSIVE JACQUELINE MENGI AFUNGUKA SIKU ZA MWISHO ZA DR. MENGI, KUZUIWA KABURINI, MALI ALIZOACHIWA
Mke wa pili wa Marehemu Dr. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi amekaa kwenye Exclusive Interview na Millard Ayo na kufafanua kile alichokiandika kuhusu kuzuiwa kuingia kwenye eneo la Familia ambako Marehemu Mume wake alizikwa. Hata hivyo baada ya mahojiano haya tuliutafuta upande wa pili wa Familia ya Marehemu ili kusikia kauli yao juu ya tuhuma hizo zilizotolewa na Jacqueline lakini hawakuwa tayari kuzungumza chochote kwa sasa.