All content for JUSTA DIVINE is the property of Justa Divine and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
JUSTA DIVINE, ni podcast inayolenga kuelimisha na kuhamasisha vijana ili kuwa bora na kuyafikia malengo huku tukisimamia NENO la Mungu
HOW TO DEAL WITH DISAPPOINTMENTS FROM PEOPLE WE LOVE
JUSTA DIVINE
17 minutes 25 seconds
3 years ago
HOW TO DEAL WITH DISAPPOINTMENTS FROM PEOPLE WE LOVE
Wanasema adui wa mtu ni wa nyumbani kwake,na historia imekuwa ikijirudia tukiona maumivu makubwa yakisababishwa na watu tuliowaamini na tuliowapenda! Je,tusitengeneze urafiki na watu au tusipende watu kwa vile watatuumiza???...Ungana nami kwenye episode hii kujua nini cha kufanya ili uwe salama.
JUSTA DIVINE
JUSTA DIVINE, ni podcast inayolenga kuelimisha na kuhamasisha vijana ili kuwa bora na kuyafikia malengo huku tukisimamia NENO la Mungu