Jifunze kupitia mijadala na maelezo yanayohusu mada mbalimbali ili upate ufahamu juu mienendo ya sasa katika nyanja na tasnia tofauti. Pata uchambuzi wa takwimu rasmi katika kuleta uhalisia wa mada tunazozijadili.
Uwe ni mmiliki wa biashara unayetaka kuboresha biashara yako ama kufungua mradi mpya, au mtu binafsi unayetaka kuongeza ufanisi wako, podcast yetu ina kitu kwa ajili yako.
SIKILIZA ILI UWEZE KUJIFUNZA
All content for LENZI Podcast with Michael Kamukulu is the property of Michael Kamukulu and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Jifunze kupitia mijadala na maelezo yanayohusu mada mbalimbali ili upate ufahamu juu mienendo ya sasa katika nyanja na tasnia tofauti. Pata uchambuzi wa takwimu rasmi katika kuleta uhalisia wa mada tunazozijadili.
Uwe ni mmiliki wa biashara unayetaka kuboresha biashara yako ama kufungua mradi mpya, au mtu binafsi unayetaka kuongeza ufanisi wako, podcast yetu ina kitu kwa ajili yako.
SIKILIZA ILI UWEZE KUJIFUNZA
S1E4. [Part 2] Je, tuko salama kwenye ulimwengu wa Data na Teknolojia? ft. Miriam Mwaibula
LENZI Podcast with Michael Kamukulu
20 minutes 58 seconds
2 years ago
S1E4. [Part 2] Je, tuko salama kwenye ulimwengu wa Data na Teknolojia? ft. Miriam Mwaibula
SEHEMU YA PILI
Zifahamu siri na maarifa ya kuwa salama katika zama mpya za Data na Teknolojia.
Jifunze:
Data ni nini?
Matumizi salama ya mitandao!
Utunzaji wa taarifa muhimu, na mengine mengi...