Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
TV & Film
Technology
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts126/v4/0e/9d/b1/0e9db18c-74ee-6901-403c-52ddb4f82743/mza_8748135698413337969.jpg/600x600bb.jpg
Mahubiri juu ya Injili ya Yohana (III) - Kula Mwili Wangu Na Kunywa Damu Yangu
The New Life Mission
15 episodes
9 months ago
Yesu ametupatia uzima wa milele kupitia mwili wake mwenyewe na damu Kanisa linashika sakramenti mbili zilizoamriwa na Yesu. Moja ni ubatizo, na nyingine ni Ushirika Mtakatifu. Tunashiriki katika Ushirika ili kutoa habari juu ya injili ya Ukweli iliyofunuliwa kupitia mkate wake na divai, kwa ukumbusho wa injili hii. Katika ibada ya Ushirika Mtakatifu, tunakula mkate huo ukumbusho wa mwili wa Yesu, na kunywa divai kama sherehe ya damu yake. Kwa hivyo, maana halisi ya Ushirika Mtakatifu ni kuimarisha imani yetu katika Ukweli kwamba Yesu ametuokoa kutoka katika dhambi za ulimwengu na kutupatia uzima wa milele kupitia Ubatizo wake na kifo chake Msalabani. Walakini, shida ni kwamba karibu Wakristo wote wanashiriki katika Ushirika Mtakatifu tu rasmi, bila hata kutambua kile Yesu alimaanisha na kifungu, "Mwili wangu ni chakula kweli, na damu yangu ni kinywaji kweli" (Yohana 6:55). Kwa hivyo, ndani ya injili ya maji na Roho, tunahitaji tena kuzingatia maana ya amri ya Yesu kula mwili wake na kunywa damu yake, na kuiamini. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35
Show more...
Christianity
Religion & Spirituality
RSS
All content for Mahubiri juu ya Injili ya Yohana (III) - Kula Mwili Wangu Na Kunywa Damu Yangu is the property of The New Life Mission and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Yesu ametupatia uzima wa milele kupitia mwili wake mwenyewe na damu Kanisa linashika sakramenti mbili zilizoamriwa na Yesu. Moja ni ubatizo, na nyingine ni Ushirika Mtakatifu. Tunashiriki katika Ushirika ili kutoa habari juu ya injili ya Ukweli iliyofunuliwa kupitia mkate wake na divai, kwa ukumbusho wa injili hii. Katika ibada ya Ushirika Mtakatifu, tunakula mkate huo ukumbusho wa mwili wa Yesu, na kunywa divai kama sherehe ya damu yake. Kwa hivyo, maana halisi ya Ushirika Mtakatifu ni kuimarisha imani yetu katika Ukweli kwamba Yesu ametuokoa kutoka katika dhambi za ulimwengu na kutupatia uzima wa milele kupitia Ubatizo wake na kifo chake Msalabani. Walakini, shida ni kwamba karibu Wakristo wote wanashiriki katika Ushirika Mtakatifu tu rasmi, bila hata kutambua kile Yesu alimaanisha na kifungu, "Mwili wangu ni chakula kweli, na damu yangu ni kinywaji kweli" (Yohana 6:55). Kwa hivyo, ndani ya injili ya maji na Roho, tunahitaji tena kuzingatia maana ya amri ya Yesu kula mwili wake na kunywa damu yake, na kuiamini. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35
Show more...
Christianity
Religion & Spirituality
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts126/v4/0e/9d/b1/0e9db18c-74ee-6901-403c-52ddb4f82743/mza_8748135698413337969.jpg/600x600bb.jpg
5. Fanya Kazi ya Chakula Kisichoharibika Kwenye Dunia hii (Yohana 6:26-59)
Mahubiri juu ya Injili ya Yohana (III) - Kula Mwili Wangu Na Kunywa Damu Yangu
38 minutes 18 seconds
2 years ago
5. Fanya Kazi ya Chakula Kisichoharibika Kwenye Dunia hii (Yohana 6:26-59)
Wakati Yesu alipanda mlimani na kuhubiri, umati wa watu ulikuwa ukimfuata. Kisha akiweka mikono Yake juu ya chakula kidogo ambacho kilikuwa cha kutosha kwa chakula cha mchana moja, Yesu akabariki na akafanya muujiza wa kuwalisha watu zaidi ya 5,000 na mkate na samaki, akiacha vikapu kumi na viwili vya mabaki. Kwa hivyo watu walimfuata Yesu na wakamtaka awe Mfalme wao. Waliwaza, Je! ingekuwa heri kuwa na mfalme kama huyo? Kwa hivyo walijaribu kumfanya Bwana kuwa mfalme wao, lakini Yesu aliondoka akaenda kuvuka pwani ya bahari. Umati mkubwa ukamfuata kwa hamu ya kutaka kupata chakula kingine kutoka kwake, Yesu akawakemea, akisema, “Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika,bali chakula kidumucho hata uzima wa milele.” (Yohana 6:27). https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35