
Karibu michongo podcast, sehemu yetu ya kwanza inazungumzia elimu ya fedha kabla ya kuingia katika Uwekezaji, ni muhimu kujua elimu ya fedha tupo na mtaalamu ambaye ni Edmund Munyagi personal finance coach akitufahamisha kuhusiana na elimu ya fedha binafsi yani personal finance.
Tembelea tovuti yetu www.michongopodcast.com
kwa taarifa zaidi unaweza kusubcribe kupata maudhui zaidi kupitia link hapo chini
unaweza kutusurport kupitia Voda lipa namba 5859111