Mungu amekusudia uishi maisha ya Ushindi kila siku, kupitia nguvu ya mafundisho ya Neno la Mungu, Roho na Maombi Pastor Clement Kingo anakusudia kukusaidia kuishi maisha ya Ushindi Kila Siku katika nyanja zote za maisha.
All content for Pastor Clement Kingo is the property of Clement Kingo and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Mungu amekusudia uishi maisha ya Ushindi kila siku, kupitia nguvu ya mafundisho ya Neno la Mungu, Roho na Maombi Pastor Clement Kingo anakusudia kukusaidia kuishi maisha ya Ushindi Kila Siku katika nyanja zote za maisha.
Sio kila unachofikiria unasema, sio ilimradi umesema, unahitaji kupima na kuchagua maneno ya kusema. Jifunze Hekima katika kusema.
- unaweza kuamua Nini Cha kusema - Amua kutawala kinywa Chako
- Bora kusikiliza kuliko kusema
- usiseme kwa haraka
- kimjazacho mtu ndicho kimtokacho
Pastor Clement Kingo