Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
TV & Film
Technology
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts116/v4/2d/6b/63/2d6b63a8-c06d-61e1-60e7-74d95d4e94cf/mza_5535330305165529741.jpg/600x600bb.jpg
Teknokona - Kona ya Teknolojia
TeknoKona - Kona ya Teknolojia
3 episodes
2 weeks ago
Kona ya Teknolojia - www.teknolojia.co.tz ni tovuti inayokuletea habari na maujanja ya teknolojia kwa lugha ya kiswahili. Furahia mazungumzo kuhusu yanayojiri kuhusu teknolojia kila wiki. @Sehemu ya TechMsaada, www.techmsaada.com Teknokona Group LTD.
Show more...
Tech News
News
RSS
All content for Teknokona - Kona ya Teknolojia is the property of TeknoKona - Kona ya Teknolojia and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Kona ya Teknolojia - www.teknolojia.co.tz ni tovuti inayokuletea habari na maujanja ya teknolojia kwa lugha ya kiswahili. Furahia mazungumzo kuhusu yanayojiri kuhusu teknolojia kila wiki. @Sehemu ya TechMsaada, www.techmsaada.com Teknokona Group LTD.
Show more...
Tech News
News
https://d3t3ozftmdmh3i.cloudfront.net/staging/podcast_uploaded_episode/1668026/1668026-1690373196862-1e947919a64ef.jpg
Kona ya Teknolojia - S01E02 - Mokiwa & Eric, Mada: Twitter sasa ni X, iOS 17, Apple vs UK, Samsung na simu za Foldable
Teknokona - Kona ya Teknolojia
31 minutes 12 seconds
2 years ago
Kona ya Teknolojia - S01E02 - Mokiwa & Eric, Mada: Twitter sasa ni X, iOS 17, Apple vs UK, Samsung na simu za Foldable

Katika episode namba mbili kutoka Kona ya Teknolojia Tanzania, Stephen Mokiwa anafanya mazungumzo na Eric Emmanuel kuhusu

  • Mabadiliko ya Twitter kuwa X, mipango ya Elon Musk na X.
  • Kizuri katika toleo la iOS 17 linalokuja hivi karibuni kwa watumiaji wa iPhone, iPad
  • Apple vs UK - Changamoto ambazo kampuni ya Apple wanazipitia nchini Uingereza zinazohusisha masuala ya kusalama na malipo kwa watengenezaji apps
  • Tukio la Samsung na ujio wa toleo jipya la simu za mkunjo

Usisahau kuungana nasi kupitia:

www.twitter.com/teknokona

www.instagram.com/teknokona

www.facebook.com/teknokona

www.instagram.com/techmsaada

www.teknolojia.co.tz - Blogu namba moja kwa habari za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili.

www.techmsaada.com - Huduma ya TEHAMA kwa njia ya kifurushi, kwa wafanyabiashara na makampuni.