
Ni maarufu kwa jina la Sheikh Kipozeo ikiwa jina lake halisi ni Hilali Makarani tulipata wasaa wa kupiga nae stori kutokea mezani kwetu kupata madini juu ya mambo mbalimbali.
Hakika kwa dakika chache tulizokuwa nae tumepata mawili matatu ya kuzingatia kama elimu kutoka kwa wakongwe kama Sheikh Kipozeo.