Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
Sports
History
TV & Film
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts221/v4/6f/5d/ad/6f5dad7f-ead5-24c2-b8e6-def9c93f1192/mza_6690085478351324168.jpg/600x600bb.jpg
Ulimwenguwaufeminine. Feminine frequency, Masculine presence, Real Talk.
Hefsiba 👸
1 episodes
3 hours ago
Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine, Sehemu sahihi kwa mwanamke anayejua nguvu yake ya kike na haogopi kuiishi/kuionyesha, yupo tayari kujifunza zaidi kuhusu Ulimwengu wa kike ili kunufaika kwa kuwa mwanamke ili usitumike bure. Hapa tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke ku-level kwenye mahusiano, kimuonekano, hisia zetu, urembo , usafi halisi (ndiyo, mpaka K!), Sex psychology , wanaume na nafasi yao kwetu, Pesa, fitness, na maisha soft kwa mwanamke anayependa kuishi Soft. Welcome home QUEEN!
Show more...
Society & Culture
RSS
All content for Ulimwenguwaufeminine. Feminine frequency, Masculine presence, Real Talk. is the property of Hefsiba 👸 and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine, Sehemu sahihi kwa mwanamke anayejua nguvu yake ya kike na haogopi kuiishi/kuionyesha, yupo tayari kujifunza zaidi kuhusu Ulimwengu wa kike ili kunufaika kwa kuwa mwanamke ili usitumike bure. Hapa tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke ku-level kwenye mahusiano, kimuonekano, hisia zetu, urembo , usafi halisi (ndiyo, mpaka K!), Sex psychology , wanaume na nafasi yao kwetu, Pesa, fitness, na maisha soft kwa mwanamke anayependa kuishi Soft. Welcome home QUEEN!
Show more...
Society & Culture
https://d3t3ozftmdmh3i.cloudfront.net/staging/podcast_uploaded_nologo/43501163/43501163-1765794377242-1f69535fc22aa.jpg
Unatambua thamani yako?
Ulimwenguwaufeminine. Feminine frequency, Masculine presence, Real Talk.
5 minutes 41 seconds
1 week ago
Unatambua thamani yako?

Karibu kwenye The Feminine Frequency , mahali ambapo wanawake wanarudi home kwenye mioyo yao, kwenye feminine energy yao, na kwenye thamani yao halisi.
Leo kwenye hii ep ya kwanza nataka kukuuliza swali moja tu… Do you really know your worth?
Ama umeishi kwenye survival mode kwa muda mrefu mpaka hujijui tena?

Hapa utasikia version yangu ambayo hujawahi kusikia Instagram, tiktok au YT.More soft. More deep. More real.

This is your new safe space, baby girl.
Welcome home.