Ebwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya, kila wiki ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuhabarisha, kukuelimisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye upande wa mifumo ya kompyuta.
All content for Yesaya Software Podcast is the property of Yesaya R. Athuman and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Ebwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya, kila wiki ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuhabarisha, kukuelimisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye upande wa mifumo ya kompyuta.
Freelancer kwa miaka 5 nitakusimulia changamoto na fursa
Yesaya Software Podcast
48 minutes 34 seconds
4 years ago
Freelancer kwa miaka 5 nitakusimulia changamoto na fursa
Freelancer kwa miaka mitano nitakusimulia changamoto na fursa. Hii ilikuwa sehemu ya mazungumzo yangu na wadau mbalimbali kwenye Twitter Spaces. Nilipata fursa kusikia uzoefu kutoka kwa Baraka, Justin, Kalebu na Alpha.
Unaweza kusikiliza sasa na nina imani kuna jambo utajifunza.