In this journey call life, I walk with blind faith
Struggles and trails I know I will face
In Almighty, I trust
All I face I embrace
Facade, it's just a phase
This pass call life I walk with blind faith.
Ninachoamini Changamoto hazikoseni maishani, kitu pekee ninachotakiwa niwe nacho ni KUAMINI, KUAMINI KWENYE WAKATI WA MUNGU,KUAMINI kwenye ndoto zangu, Kuamini kwenye mapambano yangu, Sitakiwi kusita kabisa, nichotakiwa niamini kuwa safari yangu nitafika, haijaalishi chombo Gani kitakachonichelewesha mimi kufika, zingatia kwenye kufika sio kuchelewa, ikiwa ninapambana basi sijachelewa, sichelewi, na sitochelewa, Kuna waliokuwa na ndoto kama yangu walitimiza wakiwa na miaka hamsini na hivo hivo wapo waliotimiza wakiwa na miaka 20, wote hawa hakuna aliechelewa.
Kwanini nikate tamaa mapema
Wacha niendelee kuwa na Imani bado kwenye hii safari yangu yapo matumaini.
Show more...