Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Society & Culture
Business
History
TV & Film
Technology
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts221/v4/7b/ba/a7/7bbaa755-2564-229a-b826-6090ddce6955/mza_17712269927645379386.jpg/600x600bb.jpg
Changu Chako, Chako Changu
RFI Kiswahili
24 episodes
5 days ago

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.

Show more...
Society & Culture
RSS
All content for Changu Chako, Chako Changu is the property of RFI Kiswahili and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.

Show more...
Society & Culture
Episodes (20/24)
Changu Chako, Chako Changu
Salam za mwisho wa mwaka kutoka kwa waskilizaji wapenzi wa makala Changu Chako Dec 28
Karibu katika Makala haya ya mwisho kabisa katika mwaka 2025, ambapo kama ilivyo ada hukupa nafasi kutathmini ni mada gani iiokugusa katika kipindi cha mwaka 2025, lakini pia hutowa nafasi kwa waskilizaji ktoa salam za mwisho wa mwaka 2025  
Show more...
1 week ago
20 minutes 5 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Kumbukumbu ya makala za mwaka 2025 sehemu ya pili desemba 21 2025
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili Desemba 21, wakati tukielekea kutamatisha mwaka 2025, ambapo nakukumbusha baadhi ya makala tulizokuwa nazo mwaka huu, utapata kuskiliza makala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lakini pia sehemu ya makala kuhusu mambo ambayo ni miiko kutoka makabila mbalimbali, na mwisho kabisa nitakuletea burudani ya Muziki kutoka kwake. Mimi ni A LI Bilali bienvenue ama Karibu 
Show more...
2 weeks ago
20 minutes 5 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Kumbukumbu ya Makala za mwaka 2025 sehemu ya kwanza Desemba 14 2025
Katika Makala haya mtagazaji wako Ali Bilali anakukumbusha baadhi ya makala zilizoruka hewani katika mwaka 2025 ikiwa ni sehemu ya kwanza.
Show more...
3 weeks ago
20 minutes 6 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Utamaduni wa kulinda urithi na Uhifadhi wa utamaduni wa kiafrika Nov 16 2025
Jumapili nyingine kabisa tunakutana katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni la parler francophone na Muziki   Leo nakuletea utamaduni wa kulinda urithi na uhifadhi wa utamaduni wa kiafrika.  Kwenye Muziki tutahitimisha na burudani kutoka mwa msanii Aslay katika kibao chake alichoshirikiana na Nandy Mimi ni Ali Bilali bienvenue, ama Karibu. . 
Show more...
3 weeks ago
20 minutes 8 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Historia ya Mizinga ya lamu ndani ya makala Changu Chako Chako Changu Nov 23
Juma hili kupitia makala haya utapata kuskia historia ya mizinga ya Lamu huko pwani ya Kenya, lakini pia msanii Baino mzaliwa wa Burundi anaefanya muziki nchini Kenya.
Show more...
3 weeks ago
20 minutes 2 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Changu chako kuhusu maswala ya ubunifu kwenye sanaa Novemba 30
Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea Maonyesho ya ushirikiano na Ufaransa na Kenya katika tasnia ya kitamaduni na ubunifu kupitia mpango wa Création Africa.    Na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuzi Ibrah kutoka nchini Tanzania
Show more...
3 weeks ago
20 minutes 5 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Chimbuko la kabila la wanande mashariki mwa DRC na Uganda, historia maalum
Makala hii imeangazia kwa kina chimbuko la watu wa kabila la wanande, ambao kati yao wapo ambao wamejikita mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo maarufu kama wayira na pia wengine ambao wamejikita katika mji wa Kasese na maeneo mengine nchini Uganda na ambao wanafahamika kama Bakonzo, kufahamu zaidi sikiliza makala hii na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka.
Show more...
4 weeks ago
20 minutes 6 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Utamaduni wa wamasaai katika swala la Twahara na msanii Mistachampagne
Makala haya, mtangazaji wako ametembelea jijini Arusha Tanzania katika makumbusho ya Kimasai kuzungumzia mambo mbalimbali ya tamaduni za kimaasai hususan katika swala la Twahara.
Show more...
1 month ago
20 minutes 10 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Siku kuu ya mashujaa nchini Kenya ya kila Octoba 20
Maadhimisho ya siku ya mashujaa nchini Kenya
Show more...
1 month ago
19 minutes 29 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Changu chako chako changu kuhusu siku kuu ya kimataifa ya ukalimani sehemu pili
Karibu katika makala ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya siku ya kimataifa ya ukalimani na tafsiri, na kwenye le parler francophone nitakujuwa kinachoendelea kwenye vituo vya Alliance Francaise za Ukanda na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Mace Ice. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, bienvenue ama Karibu.
Show more...
2 months ago
19 minutes 57 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu, siku ya kimataifa ya ukalimani na utafsiri
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili changu chako chako changu Makala ambayo khukuletra historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki, na eo nakuletea maadhimisho ya siku ya kimataifa ya ukalimani na utafsiri ambayo huamdihimishwa kila septemba 30 ya kila mwaka. Kwenye le parler francophone nitakujuwa yaliojiri kwenye kituo cha Alliance francaise, na kwenye Muziki nitakupa Burudani ya Muziki kutoka kwake Aslay. Mimi ni Ali Bilali Karibu ama Bienvenue,
Show more...
3 months ago
20 minutes 5 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Maadhimisho ya miaka 100 tangu kutoweka kwa muigizaji wa Ufaransa Moliere
Mtangazaji wako hapa anaangazia moja miongoni mwa mchezo wa kuigiza wa nfuli wa michezo ya jukwaani Jean Baptiste Pokelin maharufu Moliere alietoweka miaka 80 iliopita.
Show more...
3 months ago
19 minutes 58 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Utamaduni wa miiko kutoka makabila mbalimbali barani Afrika
Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki. Leo nakuletea tamaduni na miiko kutoka makabila mbalimbali barani Afrika. Na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Otile Brown Kutoka chini Kenya. Mimi ni Ali Bilali, bienvenue ama Karibu.
Show more...
3 months ago
19 minutes 50 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu: Historia ya demokrasia na msanii Marin Kidumu kutoka Uvira
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili Changu chako chako changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea hidstoria ya Demokrasia, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Marin MKidumu kutoka Uvira mashariki mwa DRC.
Show more...
3 months ago
20 minutes 3 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu, utamaduni wa waturkana kutoka nchini Kenya sehemu ya 2
3 months ago
20 minutes 1 second

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu kuhusu kutoweka kwa sherehe za kitamaduni
Karibu katika Makala yetu ya leo Changu Chako Chako Changu, mtangazaji wako Ali Bilali anazungumzia  kuhusu kutoweka kwa sherehe za harusi za kitamaduni na ambazo zinazidi kuwa nadra katika mataifa mbalimbali hususan Afrika Mashariki, ambapo sasa baadhi wanaonya kuhusu upotevu wa taratibu za kitamaduni.
Show more...
5 months ago
20 minutes 1 second

Changu Chako, Chako Changu
Historia ya uundwaji wa kikosi cha uundwaji wa kulinda amani nchini DRC Monusco
Ali Bilali nashikilia usukani hapa kukuletea Makala Changu Chako Chako Changu, ambapo leo tunasafiri pamoja Jumapili ya leo hadi kule DRC kuzungumzia Historia ya uundwaji ya tume ya Umoja wa Mataifa nchini DRC na Kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Aslay kutoka nchini Tanzania, Karibu ama Bienvenue.
Show more...
5 months ago
19 minutes 31 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Raia wa Ufaransa washerehekea sikukuu ya uhuru wa Ufaransa, la Bastille
Makala hii inaangazia historia ya mapinduzi ya Ufaransa, na pia mahojiano na mwalimu wa lugha ya kifaransa katika jiji la Nairobi nchini Kenya, lakini pia maonyesho ya muziki katika kituo cha utamaduni wa Ufaransa Alliance francaise ya Nairobi na katika muziki ni Popal Issevosi msanii aliyejikita katika kuhimiza juu ya namna ya kukinga mazingira huko DRC.Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka ambaye anazungumza na Mwanahistoria aliyebobea Benjamin Babunga Watuna akiwa Brussels Ubelgiji
Show more...
5 months ago
20 minutes 14 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Maadhimisho ya miaka 15 ya RFI Kiswahili na siku ya Kimataifa ya Kiswahili
Ni jumapili nyingine tunakutana mimi na wewe mskilizaji katika makaka haya Changu Chako Chako Changu, ambayo leo ni maalum kabisa, kuhusu maadhimisho ya miaka 15 tangu kuanza kwa matangazo ya idhaa ya kiswahili ya radio France Internationale RFI. Julai 5 mwaka 2010 huko jijini Dar es salaam nchini Tanzania, tarehe ambayo inakwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya lugha ya Kiswahili duniani.  Mimi ni Ali Bilali. Bienvenue, ama Karibu
Show more...
6 months ago
19 minutes 54 seconds

Changu Chako, Chako Changu
Maandalizi ya utoaji Tuzo za Safal Fasihi ya Kiswahili Julai 3 jijini Dar es salaam
Katika mchakato wa kukibidhaisha Kiswahili duniani, kampuni ya MRM sehemu ya Safal Group wamekuwa wakiandaa tuzo ya Safal Fasihi ya Kiswahili, ambapo mwaka huu ni tuzo ya 9, ambayo itatolewa Julai 3 katika chuo kikuu cha Dar es salaam nchini Tanzania. Mtangazaji wako wa maswala ya Historia ya Utamaduni amezungumza na waandaji wa tuzo hiyo kufahamu zaidi.
Show more...
6 months ago
20 minutes 5 seconds

Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.