Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Jifunze aina tofauti za sadaka na nguvu iliyo ndani yake unapotoa kwa utii na imani. Ujumbe huu utakusaidia kuelewa namna sadaka inavyofungua baraka, ulinzi na upenyo wa kiroho.
Endelea na sehemu ya pili ya mafundisho haya ya kina kuhusu mbingu zilizo wazi. Pokea ufunuo, nguvu na mabadiliko ya kiroho kwa ajili ya msimu wako mpya.
Jifunze msingi wa namna mbingu juu ya maisha yako zinafunguka na jinsi ya kuingia katika upenyo wa Mungu. Ujumbe huu utakusaidia kutembea katika kibali kipya.
Nabii Analyce anafundisha jinsi kutendea kazi Neno la Mungu kunavyoleta mabadiliko ya kweli, baraka, na ukuaji wa kiroho. Sikiliza ujifunze mbinu za kulitumia katika maisha yako ya kila siku na ugundue nguvu ya utii wa kiroho.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
.2 Wafalme 2 : 1 - 18
Elia akamwambia Elisha, “Niambie unalotaka nikufanyie kabla sijaondolewa kwako.”
Elisha akamwambia, “Naomba sehemu maradufu ya roho yako.”
Elia akajibu, “Ombi lako ni gumu, hata hivyo utakipokea kipawa changu hicho ikiwa utaniona wakati nitakapoondolewa kwako; lakini usiponiona, basi hutapewa.”
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kama vile watoto wachanga wanavyotamani maziwa, nanyi pia mnapaswa kuwa na hamu ya maziwa halisi ya kiroho, ili kwa nguvu yake mpate kukua na kukombolewa.
(1 Petro 2:2)
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Isaya 6 :1
"Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha Enzi
Kilicho juu Sana na kuinuliwa Sana
KUNA WATU WANATAKIWA WAFE ILI UONE MAFANIKIO YAKO
1.Yeyote alikufanya usione mafanikio katika biashara yako afe UONE
2.Ikiwa Kuna mfalme Uzia katika Maisha YAKO afe umwone Bwana
3.Nani anasimama kinyume na maombi yako afe ujibiwe
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Kwa maana neema ya Mungu iletayo wokovu imedhihirishwa kwa watu wote. Neema hiyo inatufundisha kukataa uovu na tamaa za dhambi, tupate kuishi maisha ya kiasi, ya haki na ya kumcha Mungu, katika ulimwengu huu.
Tito 2:11-12
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
"Wautia mwaka taji ya mavuno mengi; hata njia ngumu hufurika kwa wingi. Mashamba ya nyika yanakuwa malisho mazuri, na vilima kuchanua kwa furaha. Malisho yamepambwa kwa makundi ya kondoo, na mabonde yameezekwa nafaka. Wote wanapiga kelele na kuimba kwa furaha!"
- Zaburi 65:11-13
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Yohana 3:5
"Yesu akamjibu, "Kweli nakwambia, mtu asipozaliwa kwa maji na Roho, hawezi kamwe kuingia katika ufalme wa Mungu."