All content for Kijana Wa Kiislamu Na Maendeleo. is the property of hussein shaibu and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Sehemu itakayo mfungua kijana wa kiislamu na kubadili fikra zake.
Ukiishi katika misingi ya kujifunza basi kuna mengi utatakiwa kujifunza kwa faida yako! Nimekuandalia Aina za Elimu ambazo unapaswa kuzijua kama kijana wa kiislamu kwa faida yako na jamii nzima ya kiislamu.
Usichukulie udogo wa uchumi wako, umri wako, elimu yako, n.k kuwa ni sababu moja wapo ya kuwa huwezi kuwa na mchango katika jamii yako HAPANA! Sikiliz podcast hii na ujue wapi pa kuanzia.
Si rahisi kufika daraja za juu kimaisha na hata kiimani kama hatuma lengo mama au malengo mengine yanayoliunga lengo kuu, wewe ni kiumbe uliyeumbwa kwa lengo maalumu vipi uishi pasi malengo katika maish yako?