Simulizi inayogusia kifo cha msichana wa kijijini aliyeuliwa na mchumba wake chuo kikuu. Maswali mengi yanaibuka,kila mmoja haamini.
Simulizi inayogusia kifo cha msichana wa kijijini aliyeuliwa na mchumba wake chuo kikuu. Maswali mengi yanaibuka,kila mmoja haamini.
Safari ya levis jilani ni simulizi fupi kuhusu maisha yake, alikozaliwa na kulelewa. Anajaribu kuonyesha ari ya kuitetea jamii, kuipigania dhidi ya upotovu na maadili mabaya, yuko na ari ya kubadilisha jamii yake hasa kutokana na ujuzi alionao. Safari yake ya maisha imemuonyesha mengi, hivyo basi ameamua kukata shauri kutumia talanta yake ya ulumbi kuibadilisha jamii kwa kuwaelimisha na kuwakanya
Mursik Ni nini, madini yake ni yepi na husaidia vipi kiafya? tambua mengi kuhusu kinywaji hiki kinachoenziwa sana na jamii ya Wakalenjin nchini Kenya.
Tungo hii inaelezea jinsi kwenye jamii tunaishi na waovu wanaotenda ukatili bila kuwa jua, kwani wamevalia ngozi ya kondoo. siri yao hawataki ijulikane, ukitoboa siri hata wewe maisha yako yanakuwa ya ati ati