Msasaonline inaamini kila binadamu ana haki ya kuhabarika kuburudika, na kuelimika hivyo basi kazi yetu kuhakikisha tunakuletea habari sahihi, na kupunguza msongo wa mawazo kwa burudani nzuri na kubadirisha maisha yako kwa kuleta episode zenye mafunzo zaidi. Kwa undani zaidi tembelea web site yetu www.msasaonline.co karibu jisikie huru kuungana nasi.
All content for Msasa Media is the property of Msasa Media and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Msasaonline inaamini kila binadamu ana haki ya kuhabarika kuburudika, na kuelimika hivyo basi kazi yetu kuhakikisha tunakuletea habari sahihi, na kupunguza msongo wa mawazo kwa burudani nzuri na kubadirisha maisha yako kwa kuleta episode zenye mafunzo zaidi. Kwa undani zaidi tembelea web site yetu www.msasaonline.co karibu jisikie huru kuungana nasi.
MWINYI ZAHERA ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI GWAMBINA FC.
Msasa Media
1 minute 36 seconds
5 years ago
MWINYI ZAHERA ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI GWAMBINA FC.
Mwinyi zahera ametambulishwa rasmi kuwa kocha Mkuu wa klabu ya Gwambina FC ambayo imepanda daraja msimu wa 2019/20 na itashiriki ligi kuu Bara msimu wa 2020/21.
Zahera aliwahi kuifundisha yanga ndani ya ligi msimu wa 2018/19 na alianza nayo msimu wa 2019/20 kabla ya kufungashiwa virago kwa kile kilichoelezwa kuwa aliboronga kwenye michuano ya kimataifa.
Kocha huyo amesaini dili la miaka 5 na inaelezwa kuwa ataanza kusajili nyota wake ambao alifanya nao kazi ndani ya Yanga.
Wanaotajwa kuibukia Gwambina ni pamoja na Mrisho Ngassa na Kelvin Yondani ambao kwa sasa ni wachezaji huru.
Vilevile Waziri wa michezo Tanzania, Dkt Harison Mwakyembe ametangaza uamuzi wa serikali kuendelea kuruhusu idadi ya wachezaji 10 wa kigeni huku idadi ya wachezaji wanaotakiwa kucheza itaratibiwa chini ya baraza la Michezo la Taifa BMT.
Amesema bado wizara kwa kushirikiana na BMT na wadau wa soka watakaa kikao kujadili aina ama viwango vya wachezaji wanaopaswa kusajiliwa na kuingia nchini.
Amefafanua, "Angalau nchi zilizopo katika nafasi 50 kwa FIFA ndiyo tusajili huko hata kwa daraja la kwanza, ingawa bado hii si sheria ni maoni tuu,ni vyema pia aina ya wachezaji watakaosajiliwa kutoka nje wawe na weledi na uwezo mkubwa.