Msasaonline inaamini kila binadamu ana haki ya kuhabarika kuburudika, na kuelimika hivyo basi kazi yetu kuhakikisha tunakuletea habari sahihi, na kupunguza msongo wa mawazo kwa burudani nzuri na kubadirisha maisha yako kwa kuleta episode zenye mafunzo zaidi. Kwa undani zaidi tembelea web site yetu www.msasaonline.co karibu jisikie huru kuungana nasi.
All content for Msasa Media is the property of Msasa Media and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Msasaonline inaamini kila binadamu ana haki ya kuhabarika kuburudika, na kuelimika hivyo basi kazi yetu kuhakikisha tunakuletea habari sahihi, na kupunguza msongo wa mawazo kwa burudani nzuri na kubadirisha maisha yako kwa kuleta episode zenye mafunzo zaidi. Kwa undani zaidi tembelea web site yetu www.msasaonline.co karibu jisikie huru kuungana nasi.
PAUL POGBA AKUTWA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA.
Msasa Media
1 minute 28 seconds
5 years ago
PAUL POGBA AKUTWA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA.
Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema kiungo wa kati wa klabu ya Manchester United, Paul Pogba amepatikana na maambukizi ya Virusi vya Corona.
Kutokana na taarifa hiyo Pogba mwenye umri wa miaka 27 atalazimika kujitenga na wachezaji wenzake ambao wapo kwenye maandalizi ya michuano ya ligi ya Taifa la Ufaransa.
Kwahiyo mfaransa huyo atakosa mechi ya kitaifa ya Ufaransa itakayochezwa siku ya Jumamosi tarehe 5 Septemba, 2020 na siku 3 baadae atakosa kwenye mechi dhidi ya Crotia.
Hata hivyo Pogba huenda akachaguliwa katika uteuzi wa timu ya ufunguzi Manchester United dhidi ya Crystal Palace kwenye ligi kuu ya Uingereza ndani ya uwanja wao wa Old Trafford.
Vile vile baada ya kuenea kwa taarifa ya kuambukizwa Corona, klabu ya ya Manchester United na Wachezaji wenzake wamemtakia heri ya kupona haraka kabla ya kuanza kwa msimu.
Ila nafasi ya Paul Pogba katika kikosi cha Ufaransa itachukuliwa na kiungo wa kati wa Rennes Eduardo Camavinga mwenye asili ya Angola, anaecheza Klabu ya Stade Rennais FC.