All content for Mwl. Erick’s Podcast is the property of Christ Embassy Kawe and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Karibu kwenye mafundisho yanayofunua nguvu ya utambulisho wa kiumbe kipya ndani ya Kristo.Utambulisho wako si hadithi ya jana, ni uhalisi mpya ulioumbwa kwa Neno la Mungu.Ukijua wewe ni nani, hakuna nguvu ya dunia itakayokuzuia au kukupotosha.Hebu ingia ndani ya ukweli huu… maana ndani ya Kristo, wewe ni zaidi ya kawaida