All content for Mwl. Erick’s Podcast is the property of Christ Embassy Kawe and is served directly from their servers
with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
🎙️ Ubora wa maisha yako unategemea ubora wa maswali unayouliza.Wale waliobadili mwelekeo wa maisha walikuwa ni waliouliza maswali sahihi.Katika mafundisho haya, tutasafiri ndani ya Neno la Mungu kuchunguza Maswali Mawili Muhimu…Maswali yanayoweza kubadilisha mwendo wako na hatima ya maisha yako.