Kumekuwa na wimbi kubwa la ongezeko la motivational speaker ( wazungumzaji wanaotoa motisha) kwa upande wako uwepo wao na maneno yao yamebadili kitu chochote katika maisha yako unaona wanamsaada wowote kukusaidia kukua zaidi au?
Ungana na Isack Isack, Timz na Lusekelo katika mada hii!
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amewataka machinga wote waliosehemu sio rasmi kondoka mara moja!Je hatua hiyo unaionaje ikiwa wewe kama mwananchi?......