Home
Categories
EXPLORE
True Crime
Comedy
Business
Society & Culture
Sports
TV & Film
History
About Us
Contact Us
Copyright
© 2024 PodJoint
00:00 / 00:00
Sign in

or

Don't have an account?
Sign up
Forgot password
https://is1-ssl.mzstatic.com/image/thumb/Podcasts211/v4/d5/e7/3f/d5e73fc8-1cce-7e77-d089-29d092230c30/mza_11626608700116022663.jpg/600x600bb.jpg
Ulimwenguwaufeminine. The Feminine frequency, Masculine presence, Real Talk.
Hefsiba 👸
1 episodes
4 hours ago
Karibu kwenye The Feminine Frequency Feminine Energy. Masculine Presence. Real Talk. Hii ni podcast ya mwanamke anayejua nguvu yake ya kike na haogopi kuiishi/kuionyesha. Hapa hatuzungumzi tu mambo ya kawaida , tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke: mahusiano, miili yetu, hisia zetu, uzuri wetu, usafi wa kweli (ndiyo, mpaka K!), Sex, wanaume na nafasi yao kwetu, Pesa, fitness, na maisha ya kifahari kwa mwanamke anayependa kuishi Soft. Kila episode ni mchanganyiko wa sauti laini, mazungumzo ya kweli, Mafunzo, na vibe ya “baby girl who knows her worth.” Let’s Goo!!!
Show more...
Society & Culture
RSS
All content for Ulimwenguwaufeminine. The Feminine frequency, Masculine presence, Real Talk. is the property of Hefsiba 👸 and is served directly from their servers with no modification, redirects, or rehosting. The podcast is not affiliated with or endorsed by Podjoint in any way.
Karibu kwenye The Feminine Frequency Feminine Energy. Masculine Presence. Real Talk. Hii ni podcast ya mwanamke anayejua nguvu yake ya kike na haogopi kuiishi/kuionyesha. Hapa hatuzungumzi tu mambo ya kawaida , tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke: mahusiano, miili yetu, hisia zetu, uzuri wetu, usafi wa kweli (ndiyo, mpaka K!), Sex, wanaume na nafasi yao kwetu, Pesa, fitness, na maisha ya kifahari kwa mwanamke anayependa kuishi Soft. Kila episode ni mchanganyiko wa sauti laini, mazungumzo ya kweli, Mafunzo, na vibe ya “baby girl who knows her worth.” Let’s Goo!!!
Show more...
Society & Culture
https://d3t3ozftmdmh3i.cloudfront.net/staging/podcast_uploaded_episode/43499045/43499045-1764046896621-c627891abeaed.jpg
Babygirl, Unatambua Wewe ni nani??
Ulimwenguwaufeminine. The Feminine frequency, Masculine presence, Real Talk.
5 minutes 41 seconds
2 weeks ago
Babygirl, Unatambua Wewe ni nani??

Karibu kwenye The Feminine Frequency — mahali ambapo wanawake wanarudi nyumbani kwenye mioyo yao, kwenye feminine energy yao, na kwenye thamani yao halisi.

Leo nataka kukuuliza maswali kadhaa tu… Do you really know your worth? Do you really know how to love yourself deeply?

Ama umeishi kwenye survival mode kwa muda mrefu mpaka hujijui tena wewe ni nani?

Hapa tunazungumza the real talk:

✨ kujithamini

✨ giving vs overgiving

✨ living in masculine survival

✨ kupotea, kujichoka, kukata tamaa

✨ kupenda vibaya, kupokea vibaya

✨ na safari ya kuamka tena kama Mwanamke Feminine.

Hapa utasikia version yangu ambayo hujawahi kusikia Instagram/tiktok

More soft. More deep. More real.

This is your new safe space, baby girl.

Welcome home.