Karibu kwenye The Feminine Frequency — mahali ambapo wanawake wanarudi nyumbani kwenye mioyo yao, kwenye feminine energy yao, na kwenye thamani yao halisi.
Leo nataka kukuuliza maswali kadhaa tu… Do you really know your worth? Do you really know how to love yourself deeply?
Ama umeishi kwenye survival mode kwa muda mrefu mpaka hujijui tena wewe ni nani?
Hapa tunazungumza the real talk:
✨ kujithamini
✨ giving vs overgiving
✨ living in masculine survival
✨ kupotea, kujichoka, kukata tamaa
✨ kupenda vibaya, kupokea vibaya
✨ na safari ya kuamka tena kama Mwanamke Feminine.
Hapa utasikia version yangu ambayo hujawahi kusikia Instagram/tiktok
More soft. More deep. More real.
This is your new safe space, baby girl.
Welcome home.